Monday, August 6, 2007
SOKONI
Soko kuu ambalo wakazi wa kitongoji cha Bonnamoussadi ambako ndiko nyumbani kwa Etoo huwa wanajipaia bidhaa kwa matumizi ya nyumbani, ni kama baadhi ya sehemu za bongo tu, unajua hizi nchi zetu zinafanana fanana, hasa katika sekta kama hizi pamoja na biashara nyingine ndogondogo...au uchuuzi!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment