Monday, August 6, 2007

NDIZI


Wenzetu huku Kameruni mara chache sana kukuta ndizi zikiwa kwenye mkungu wake kama home, ndizi huwa zinawekwa kama inavyoonekana hapo, ni kama kichuguu ukiona, au kwa wanaojua soko la kibaigwa jinsi mahindi yanavyorundikwa...
Posted by Picasa

No comments: