Monday, August 6, 2007

BUTCHERY


Bucha la kuuza nyama likiwa wazi, hapa ndipo huwa nakuja kila wikiendi kupata mahitaji ya mboga, biashara hii haihitaji gharama kubwa wala nini, we wtafuta meza yako kama unavyoona halafu mambo kama kawa... yanaendelea, piga pesa!
Posted by Picasa

No comments: