Monday, August 6, 2007

MSOSI


Kama hujawahi kuona, kusikia au kuonja samaki wa kuchoma na mihogo ya kuchemsha huku ikiwekewa vitunguu kwa juu, niulize mimi si mchezo dishi hili, huku Kameruni mbali na kua na aina mbalimbali za chakula, linapokuja swala la samaki wa kuchoma ama POISSONE sio sumu jamani, kama wanavyoita wenyewe Mkameruni humwambii kitu, na kuna staili ya kumla huyo samaki, mpaka mifupa mzee, haishii hapo tu unaambiwa utamu wote upo kwenye kichwa hasa yale macho ya samaki, mambo hayo...

No comments: