Wednesday, August 8, 2007

21 DAYS OF YELLOW CARE


Hapa tukila picha ya pamoja baada ya kazi, kwa wasioelewa programu hii ni kwamba MTN Cameroon wamelonchi program ya kuonesha kua wanajali jamii kwa kutoa misaada mbalimbali kwa habari zaidi nenda kwenye website yao MTN kwenye Sites and other blogs kulia kwako.
Posted by Picasa

No comments: