Tuesday, August 7, 2007

MANENO


Maneno mazuri kama haya utayakuta kila pembe ya nchi ya Cameroon, hakika inapendeza kuona jinsi kampuni inavyoweza kuleta mabadiliko kwenye jamii, bado nasisitiza makampuni ya nyumbani yaunge mkono jitihada hizi.
Posted by Picasa

No comments: