Thursday, July 19, 2007

AMEPENDEZA

Mkanada akiwa amevalia mavazi ya kiafrika, hakika amependeza. Ni vizuri au vibaya kuona wageni wanathamini mavazi yenye asili ya kiafrika kuliko sisi wenyewe tunavyoyathamini? Wadau nakaribisha maoni.

No comments: