Thursday, July 19, 2007

USAFIRI

Wadau wanaweza kushangaa eti inakuaje pikipiki inaweza kusanya abiria na kupeleka hesabu kwa tajiri jioni kama kawaida. Hii ndio hali halisi ya Douala, Cameroon, pikipiki zinasanya abiria na zipo kibao dereva usipokua shapu lazima utapata matatizo.

No comments: