Hapa mataifa mbalimbali yalikutana huko Buea Cameroon, inapendeza kuona dunia inakua kama kijiji kwa watu wa mataifa mbalimbali kukutana kama inavyoonekana hapo. Kwa walio vyuoni mjaribu kujiunga na AIESEC kwani ni bomba, sitachoka kuwapa utamu wake, kwa habari zaidi kuhusu AIESEC gonga hapa
Thursday, July 19, 2007
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment