Monday, August 6, 2007
NYAMA CHOMA
Hata huku nyama choma ipo, unaipata kuanzia CFA 500 na kuendelea, kitu kimoja nashangaa ni kwamba bei ya vitu huku ni ghali ukilinganisha na nyumbani, mbali na kwamba currency yao ina nguvu, kitu ambacho ni cha Tsh 500 hapa unakipata kwa Cfa 500 au pengine zaidi, ni BIA tu nafikiri ndio cheeeeeeee, yani ubwete. Bia yenye ujazo wa 650 ml unaipata kwa Cfa 450. Je, huko nyumbani ni kiasi gani kwasasa? Wadau nisaidieni. Hapa ni Douala, Kameruni.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment