Thursday, July 26, 2007

LJUNGBERG


Mchezaji wa zamani wa Arsenal, Freddie Ljungberg alisisimua sana pale timu yake mpya ya West Ham United ilipochuana na MK Dons katika mechi ya kirafiki, pamoja na hayo Hammers walilala 3-2.
Posted by Picasa

No comments: