Monday, July 23, 2007

KAZAMIA

Dogo Emanuel Anarfi (17) kutoka Ghana pichani inasemekana amezamia huko Aberdeen ambako yeye pamoja na wenzake walikwenda kwa ziara ya kimichezo, Emanuel ni mmoja wa wachezaji wa timu ya vijana ya Ghana ambayo ilikua ni moja kati ya timu za vijana wanaoshiriki mashindano ya tamasha la mpira wa miguu huko Aberdeen .
Inasemekana dogo anataka kutokomea na kuingia katika jiji la London.

Haya kazi hiyo.

No comments: