
Kwa habari nilizozipata ni kwamba kiungo mzoefu wa mabingwa wa soka Uingereza Paul Scholes huenda akakosa mwanzo wa msimu kutokana na kuhitajika kufanyiwa upasuaji wa goti, habari kutoka BBC.
Baadhi ya wapenzi wa soka hasa wale wa Mashetani wekundu wameonesha kutokua na wasiwasi kwakua kiungo wa kuziba pengo yupo, Owen Hargreaves.
Haya tusubiri tuone.

No comments:
Post a Comment