Thursday, July 26, 2007

ORANGE


Jengo la kampuni ya simu (Mobile Network) Orange linavyoonekana kwa mbali, hapa Cameroon kuna ushindani wa makampuni mawili makubwa ya simu, ambayo ni MTN na ORANGE, wakati MTN ndio inayoongoza kwa kua na Wateja (Subscribers) wengi kuliko ORANGE, japo kwa asilimia chache.
Posted by Picasa

1 comment:

Anonymous said...

Cameroon kama manzese? kulaleki hata Bongo Poa