Thursday, July 19, 2007

Nawakilisha Nyumbani


Unapokua ugenini mara nyingi hujali nani anakuangalia unafanya nini. Eti na mimi nawakilisha BONGO FLAVA. Hapa ilikua ni moja ya shughuli za AIESEC, Douala Cameroon.

No comments: