Monday, July 23, 2007

MTATUKOMA

Kwa habari nilizozipata ni kwamba kiungo machachari wa Mashetani Wekundu, Christiano Ronaldo ameapa kua msimu ujao patakua hapatoshi, zile cheche alizoonesha msimu uliopita zilikua kama trela tuu. Haya me simo, nasubiria kwa hamu kuona jinsi tutavyoitikisa Uingereza na Ulaya kwa ujumla msimu ujao.
Aseno, Chelsii na Bwawa la Maini kaeni chonjo!

1 comment:

Anonymous said...

haya sisi aseno bwana mkubwa atishiwi nyau
big lee, tz