Monday, July 30, 2007

HOFU

Mlinzi wa Bwawa la Maini, Jamie Carragher anaomba maasimu wao Man Utd wasimpate mshambuliaji nyota wa Kiajentina, Tevez. Haya ni maneno yake "Tevez would make a big difference to their chances, but hopefully they won't get him." Haha haaa...

No comments: