Dogo akipita mitaani akiuza karanga, hii ni katika kujipatia kipato. Watoto wengi barani Afrika wamejiingiza katika shughuri kama hizi kutokana na maisha duni ya famila zao au kukosa mtu wa kuwasaidia katika elimu na mahitaji mengine ya maisha. Hapa ni Kameruni.
No comments:
Post a Comment