Haya tena, ile programu ya 21 days of yello care bado inaendelea, kwa wasiofahamu program hii ni katika kusaidia jamii isiojiweza kwa kuwapatia misaada mbali mbali, kama kampuni inajitolea kurudisha fadhila kwa jamii wanayoitumikia.
Baadhi ya wafanyakazi wa MTN wakiendelea kujitolea kupaka rangi ubao, yote haya ni katika 21 days of yello care.